-
Kufungua Kufuli ya Siri TakatifuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu mimi na akasema: ‘Usiwe mwenye hofu. Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho,
-
-
Kufungua Kufuli ya Siri TakatifuUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Katika Ufunuo, Yesu anazungumza juu ya mtajo wake wa cheo ambao amepewa, akivuta fikira kwenye ufufuo wake usio na kifani.
3. (a) Ni katika njia gani Yesu alikuwa “wa Kwanza na wa Mwisho”? (b) Ni jambo gani linalomaanishwa na Yesu kuwa na “funguo za kifo na za Hadesi”?
3 Yesu alikuwa kweli kweli ndiye binadamu “wa Kwanza” kufufuliwa kwenye uhai wa roho usioweza kufa. (Wakolosai 1:18) Na zaidi, yeye ndiye “wa Mwisho” kufufuliwa hivyo na Yehova binafsi.
-