-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ufunuo—IIMnara wa Mlinzi—2009 | Februari 15
-
-
Katika maono ya tisa, Yohana anamwona “Mwana-Kondoo amesimama juu ya Mlima Sayuni” na pamoja naye “144,000.” Wao “walinunuliwa kutoka kati ya wanadamu.” (Ufu. 14:1, 4) Matangazo ya kimalaika yanafuata.
-
-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ufunuo—IIMnara wa Mlinzi—2009 | Februari 15
-
-
Maono hayo mawili yanatoa habari kuhusu hukumu nyingine za Ufalme zinazohusiana na ole wa tatu na kupulizwa kwa tarumbeta ya saba.—Ufu. 11:14, 15.
-