-
Mbingu Mpya na Dunia MpyaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na yeye akasema kwa mimi: ‘Yamekwisha tukia! Mimi ndiye Alfa na Omega, mwanzo na mwisho.’”—Ufunuo 21:5, 6a, NW.
-
-
Mbingu Mpya na Dunia MpyaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Kwani, ahadi hizi za Yehova ni hakika sana hivi kwamba yeye hunena kama tayari zilitimia: “Yamekwisha tukia!” Je! Yehova siye “Alfa na Omega . . . , Mmoja ambaye yuko na ambaye alikuwako na ambaye anakuja, yule Mweza Yote”? (Ufunuo 1:8, NW) Kweli kweli ndiye! Yeye mwenyewe hujulisha wazi: “Mimi ndiye wa kwanza na mimi ndiye wa mwisho, na mbali na mimi hakuna Mungu.” (Isaya 44:6, NW) Akiwa hivyo, yeye anaweza kuvuvia unabii na kuutimiza katika kila jambo dogo-dogo. Jinsi inavyoimarisha imani!
-