-
Kuimba Wimbo Mpya wa Sherehe ya UshindiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na mimi nikaona malaika mwingine akiruka katika mbingu ya kati, na yeye alikuwa na habari njema za milele kujulisha wazi kuwa taarifa teremeshi kwa wale ambao hukaa juu ya dunia, na kwa kila taifa na kabila na ulimi na kikundi cha watu,
-
-
Kuimba Wimbo Mpya wa Sherehe ya UshindiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Huyo malaika anaruka “katika mbingu ya kati,” wanamoruka ndege. (Linga Ufunuo 19:17.) Kwa sababu hiyo, sauti yake inaweza kusikika kuzunguka tufe lote. Mbiu ya ulimwenguni pote ya malaika huyu ni yenye mfiko mkubwa kama nini, kuliko mrusho wowote wa taarifa ya habari ya televisheni!
-