-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Lilikuwa lina ukuta mkubwa na ulioinuka juu sana na lilikuwa lina malango kumi na mawili, na kwenye malango malaika kumi na wawili, na majina yalikuwa yamechorwa ambayo ni yale ya makabila kumi na mawili ya wana wa Israeli.
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Baada ya Adamu kutolewa nje, makerubi waliwekwa kwenye upande wa mbele wa Paradiso hiyo ya kwanza kabisa kuzuia nje wanadamu wachafu. (Mwanzo 3:24) Hali moja na hiyo, malaika wamewekwa kwenye kila mwingilio wa Yerusalemu jiji takatifu ili kuhakikisha usalama wa kiroho wa jiji. Kweli kweli, katika muda wote wa siku za mwisho, malaika wamekuwa wakilinda kundi la Wakristo wapakwa-mafuta, ambalo huwa Yerusalemu Jipya ili lisipatwe na uchafu wa Kibabuloni.—Mathayo 13:41.
-