Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Sheria ya Mwenye Hekima”—Ni Chemchemi ya Uzima
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Septemba 15
    • Uwe Mwenye Kufundishika

      “Mwana ni mwenye hekima palipo na nidhamu ya baba, lakini mtu mwenye dhihaka ni yule ambaye hajasikia kemeo,” linasema andiko la Mithali 13:1, NW.

  • “Sheria ya Mwenye Hekima”—Ni Chemchemi ya Uzima
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Septemba 15
    • Kwa upande mwingine, mtu mwenye dhihaka hakubali nidhamu. “Yeye hafundishiki kwa sababu anafikiri anajua sana,” kinasema kitabu kimoja cha kitaalamu. Hata hakubali kemeo, yaani, nidhamu iliyo kali zaidi. Lakini je, anaweza kuthibitisha kwamba nidhamu ya Baba ina makosa? Yehova hajawahi kukosea kamwe wala hatakosea kamwe. Kwa kukataa nidhamu mtu mwenye dhihaka hufanya adhihakiwe. Kwa kutumia maneno machache yaliyochaguliwa vema, Sulemani anaonyesha kwa ustadi manufaa ya kuwa mwenye kufundishika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki