Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Kujijenga Wenyewe juu ya Imani Yenu Iliyo Takatifu Zaidi”
    “Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu”
    • Mazingira mazuri ya jua kuzama baharini

      Laiti ungesikiliza amri zangu! Ndipo amani yako ingekuwa kama mto, na uadilifu wako kama mawimbi ya bahari.” (Isaya 48:17, 18) Je, umewahi kutua na kufikiria jinsi ambavyo maneno hayo yanatia moyo?

      8 Katika andiko hilo, Yehova anatukumbusha kwamba tunapata faida kwa kumtii. Anaahidi kutubariki kwa njia mbili ikiwa tutamtii.

  • “Kujijenga Wenyewe juu ya Imani Yenu Iliyo Takatifu Zaidi”
    “Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu”
    • Pili, uadilifu wetu utakuwa kama mawimbi ya bahari. Ukisimama ufuoni na kutazama mawimbi yakiinuka na kushuka, huna shaka lolote kwamba yatakuwako daima. Unajua kwamba mawimbi hayo yataendelea kuinuka na kushuka miaka nenda miaka rudi. Yehova anasema kwamba uadilifu wako, yaani, maisha yako ya kufanya yaliyo sawa, yanaweza kuwa hivyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki