-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Bali huko BWANA atakuwa pamoja nasi, mwenye adhama; mahali penye mito mipana na vijito, pasipopita mashua na makasia yake; wala hapana merikebu ya vita itakayopita hapo.” (Isaya 33:20, 21)
-
-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yehova atawalinda watu wake kama vile handaki au mto zilindavyo mji. Adui yeyote yule atakayeinuka dhidi yao—hata awe mwenye nguvu kama “mashua na makasia yake” au “merikebu ya vita”—ataangamizwa!
-