-
Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya WakristoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
28. Kunakuwa nini wakati malaika wa tatu anapopuliza tarumbeta yake?
28 “Na malaika wa tatu akapuliza tarumbeta yake. Na nyota kubwa yenye kuwaka kama taa ikaanguka kutoka mbinguni, na ikaanguka juu ya theluthi moja ya mito na juu ya vibubujiko vya maji. Na jina la nyota linaitwa Pakanga. Na theluthi ya maji ikageuka kuwa pakanga, na wengi wa wanadamu wakafa kwa hayo maji, kwa sababu haya yalikuwa yamefanywa kuwa machungu.” (Ufunuo 8:10, 11, NW)
-
-
Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya WakristoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
31. (a) Ni lini viongozi wa kidini wa Jumuiya ya Wakristo walipoanguka kutoka cheo cha “kimbingu”? (b) Maji ambayo viongozi wa kidini wanatoa yamegeukaje yakawa “pakanga,” na kukiwa na tokeo gani kwa wengi?
31 Wakati viongozi wa kidini wa Jumuiya ya Wakristo walipoasi Ukristo wa kweli, wao walianguka kutoka cheo kilichotukuka cha “kimbingu” kinachoelezwa na Paulo kwenye Waefeso 2:6, 7, NW. Badala ya kutoa maji safi ya ukweli, wao walitoa “pakanga,” uwongo mchungu kama vile moto wa mateso, pargatori, Utatu, na watu kuandikiwa kimbele mwisho wao; pia waliongoza mataifa kwenye vita, wakishindwa kuwajenga wawe watumishi waadilifu wa Mungu. Tokeo? Kusumishwa kiroho kwa wale walioitikadi uwongo huo. Kisa chao kilifanana na kile cha Waisraeli wasio waaminifu wa siku ya Yeremia, ambao kwao Yehova alisema: “Hapa mimi ninafanya wao kula pakanga, na mimi nitawapa maji yaliyosumishwa wanywe. Kwa kuwa kutoka manabii wa Yerusalemu uasi-imani umetoka na kwenda kwenye bara lote.”—Yeremia 9:15; 23:15, NW.
-
-
Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya WakristoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Kwa sababu ya Mashahidi wa Yehova kuhubiri, idadi kubwa-kubwa za watu wamekuja kung’amua kwamba mafundisho mengi ya kidini wanayofundisha viongozi wa kidini ni sumu ya kiroho—“pakanga.”
-
-
Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya WakristoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
[Picha katika ukurasa wa 139]
Maji ya Jumuiya ya Wakristo Yafunuliwa Kuwa Pakanga
Itikadi na Mielekeo ya Yanayosemwa
Jumuiya ya Wakristo Hasa na Biblia
Jina la kibinafsi la Mungu Yesu alisali jina la Mungu
si la maana: “Utumizi wa jina litakaswe. Petro alisema:
la pekee lolote kwa ajili ya “Kila mmoja ambaye huita
Mungu mmoja tu . . . haufai juu ya jina la Yehova
kabisa kwa imani ya ulimwengu ataokolewa.” (Matendo 2:21;
wote mzima ya Kanisa la Kikristo.” Yoeli 2:32; Mathayo 6:9, NW;
(Dibaji ya Revised Standard Version) Kutoka 6:3; Ufunuo 4:11;
15:3; 19:6)
Mungu ni Utatu: “Baba ni Biblia husema Yehova ni mkuu
Mungu, Mwana ni Mungu, kuliko Yesu naye ni Mungu
na Roho Mtakatifu ni Mungu, na kichwa cha Yesu.
na hata hivyo hakuna Miungu (Yohana 14:28; 20:17; 1 Wakorintho
watatu bali Mungu mmoja.” 11:3) Roho takatifu ni kani-
(The Catholic Encyclopedia, tendaji ya Mungu. (Mathayo 3:11;
chapa ya 1912) Luka 1:41; Matendo 2:4)
Nafsi ya kibinadamu ni Mtu ni nafsi. Wakati
isiyoweza kufa: “Mtu anapokufa wa kifo nafsi huacha kufikiri
nafsi na mwili wake hutengana. au kuhisi na hurudia mavumbi
Mwili wake . . . huoza . . . ambayo kwayo ilifanyizwa.
Lakini nafsi ya kibinadamu, haifi.” (Mwanzo 2:7, 3:19; Zaburi
(What Happens After Death, 146:3, 4; Mhubiri 3:19, 20;
kichapo cha Roma Katoliki) 9:5, 10; Ezekieli 18:4, 20, ZSB)
Waovu huadhibiwa baada ya Mshahara wa dhambi ni kifo,
kufa katika hell: “Kulingana si uhai katika mateso makali.
na itikadi ya Kikristo ya (Warumi 6:23) Wafu hupumzika
kimapokeo, hell ni mahali pa katika kaburi (Hadesi, Sheoli)
mateso makali na maumivu.” bila fahamu, wakingojea ufufuo.
(The World Book Encyclopedia, (Zaburi 89:48; Yohana 5:28, 29;
chapa ya 1987) 11:24, 25; Ufunuo 20:13, 14)
“Jina la cheo Mediatriksi Mpatanishi pekee kati ya
[mpatanishi wa kike] linatumika Mungu na wanadamu ni Yesu.
kuhusu [Mama Yetu].” (New (Yohana 14:6; 1 Timotheo 2:5;
Catholic Encyclopedia, Waebrania 9:15; 12:24)
chapa ya 1967)
Yapasa vitoto vichanga Ubatizo ni wa wale ambao
vibatizwe: “Tangu mwanzo wamekwisha fanywa wanafunzi na
wenyewe Kanisa limevipa wamefundishwa kutii amri za
vitoto vichanga Sakramenti Yesu. Ili mtu astahili ubatizo
ya Ubatizo. Zoea hili ni lazima aelewe Neno la
halikuonwa kuwa halali Mungu na kujizoeza imani.
kisheria tu, bali pia (Mathayo 28:19, 20; Luka 3:21-23;
lilifundishwa kuwa la lazima Matendo 8:35, 36)
kabisa kwa ajili ya wokovu.”
(New Catholic Encyclopedia
chapa ya 1967)
Makanisa yaliyo mengi yame- Wakristo wa Kwanza wote
gawanywa kuwa jamii ya watu walikuwa wahudumu nao walishiriki
wasio na cheo na jamii ya kuhubiri habari njema. (Matendo
viongozi wa kanisa, ambao 2:17, 18; Warumi 10:10-13;
huhudumia watu wasio na cheo. Warumi 16:1) Mkristo apaswa
Kwa kawaida viongozi wa kidini ‘kutoa bure’ si kwa ajili
hupewa mshahara kwa kubadili- ya mshahara. (Mathayo 10:7, 8)
shana na huduma yao na wanatu- Yesu alikataza katakata utumizi
kuzwa juu ya hao watu wasio wa majina ya cheo ya kidini.
na cheo kwa majina ya cheo kama (Mathayo 6:2; 23:2-12;
vile “Reverendi,” “Baba,” “Msifiwa.” 1 Petro 5:1-3)
Mifano, maaikoni, na misalaba, Lazima Wakristo wakimbie kila
hutumiwa katika ibada: ‘Mifano namna ya ibada ya sanamu,
ya Kristo, ya Bikira Mama ya kutia na ile inayoitwa eti
Mungu, na ya watakatifu wengine, ibada ya husiano. (Kutoka
yapasa . . . kutunzwa katika 20:4, 5; 1 Wakorintho 10:14;
makanisa na kupewa [staha kubwa] 1 Yohana 5:21) Wao huabudu
na heshima inayostahili. (Julisho-Wazi Mungu si kwa mwono bali
la Baraza la Trent [1545-63]) kwa roho na kweli. (Yohana
4:23, 24; 2 Wakorintho 5:7)
Washiriki wa Kanisa wanafundishwa Yesu alihubiri Ufalme wa
kwamba makusudi ya Mungu yata- Mungu, si mfumo fulani wa
timizwa kupitia siasa. Kardinali kisiasa, kuwa ndio tumaini
Spellman ambaye sasa amekufa kwa ajili ya aina ya binadamu.
alitaarifu hivi: “Kuna barabara (Mathayo 4:43; 6:9, 10)
moja tu ya kufikia amani . . . , Yeye alikataa kujihusisha
barabara kuu ya kidemokrasia.” katika siasa. (Yohana 6:14, 15)
Taarifa za habari huripoti juu ya Ufalme wake ulikuwa si sehemu
kujiingiza kwa dini katika siasa za ya ulimwengu huu; kwa sababu
ulimwengu (hata katika vitendo vya hiyo, wafuasi wake walipaswa
kufitini serikali) na uungaji-mkono wayo wawe si sehemu ya
wa UM kuwa “ndilo tumaini la mwisho ulimwengu. (Yohana 18:36;
la itifaki na amani.” 17:16) Yakobo alionya juu
ya urafiki na ulimwengu. (Yakobo 4:4)
-