-
Barabara za Roma Kumbukumbu za Uinjinia wa KaleMnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
-
-
Via Appia au Njia ya Apio, ndiyo barabara kuu ya kwanza iliyokuwa muhimu. Iliitwa barabara bora na iliunganisha Roma na Brundisium (sasa linaitwa Brindisi), jiji la bandarini lililotumiwa kuingia maeneo ya Mashariki. Barabara hiyo iliitwa kwa jina la Appius Claudius Caecus, ofisa Mroma aliyeanza kuijenga karibu mwaka wa 312 K.W.K.
-
-
Barabara za Roma Kumbukumbu za Uinjinia wa KaleMnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
-
-
Miaka 900 hivi baada ya Njia ya Apio kujengwa, Procopius, mwanahistoria wa Byzantium alisema barabara hiyo ni ya “ajabu.” Aliandika hivi kuhusu mawe ya juu ya barabara hiyo: “Licha ya muda mrefu kupita na barabara hiyo kutumiwa sana na magari siku baada siku, bado mawe yake hayajabadilika na yangali laini.”
-
-
Barabara za Roma Kumbukumbu za Uinjinia wa KaleMnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
-
-
Paulo alielekea Roma akitumia Njia ya Apio ili akutane na waamini wenzake kwenye Soko la Apio lenye shughuli nyingi, kilometa 74 kusini mashariki ya Roma. Wengine walimngoja kwenye kituo cha mapumziko cha Mikahawa Mitatu, kilometa 14 karibu na Roma. (Matendo 28:13-15)
-
-
Barabara za Roma Kumbukumbu za Uinjinia wa KaleMnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 15]
Njia ya Apio nje ya jiji la Roma
-
-
Barabara za Roma Kumbukumbu za Uinjinia wa KaleMnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 16]
Magofu ya makaburi kwenye njia ya Apio nje ya jiji la Roma
-