-
Historia Inayopendeza ya SiriaAmkeni!—2003 | Februari 8
-
-
Lakini kuna mabaki ya jiji kale la Waroma na vilevile barabara moja ya jiji hilo la kale inapita mahali ambapo barabara ya Waroma iliyoitwa Via Recta (Barabara Nyoofu) ilipita. Sauli aligeuzwa imani kimwujiza nje tu ya Damasko na ilikuwa katika nyumba moja kando ya barabara hiyo ambamo Anania alimpata baada ya yeye kuwa Mkristo. (Matendo 9:10-19) Barabara ya leo haifanani hata kidogo na barabara iliyokuwapo nyakati za Waroma. Hata hivyo, hapo ndipo mtume Paulo alipoanza utumishi wake wa kipekee. Barabara Nyoofu inafika hadi lango la Kirumi liitwalo Bab-Sharqi.
-
-
Historia Inayopendeza ya SiriaAmkeni!—2003 | Februari 8
-
-
[Picha katika ukurasa wa 24]
Damasko (chini) na Barabara Nyoofu (juu)
-