-
Korintho “Jiji Linalomiliki Bandari Mbili”Mnara wa Mlinzi—2009 | Machi 1
-
-
Lechaeum —Mwingilio wa Magharibi
Barabara iliyofunikwa kwa mawe inayoitwa Barabara ya Lechaeum ilitoka kwenye soko la Korintho hadi kwenye bandari ya magharibi iliyokuwa kilomita 2 iliyoitwa Lechaeum.
-
-
Korintho “Jiji Linalomiliki Bandari Mbili”Mnara wa Mlinzi—2009 | Machi 1
-
-
Kwenye Barabara ya Lechaeum ambayo ilikingwa na kuta mbili, kulikuwa na njia za wapita-njia, majengo ya serikali, mahekalu, na maduka. Huenda Paulo alikutana na wanunuzi wenye shughuli nyingi, watu waliosimama kupiga gumzo, wenye maduka, watumwa, wafanyabiashara, na wengine—watu ambao aliwahubiria.
-