-
Je, Ni Vibaya Kutumia Njia za Kuzuia Uzazi?Amkeni!—2007 | Septemba
-
-
Kanisa Katoliki linafundisha kwamba tendo lolote linalokusudiwa kuzuia uzazi “ni dhambi.” Kanisa Katoliki hufundisha kwamba kila mara wenzi wa ndoa wanapokuwa na mahusiano ya kingono, hakupaswi kuwa na chochote kinachoweza kuzuia uwezekano wa mimba kutungwa. Hivyo, kulingana na Kanisa Katoliki, kutumia njia yoyote ya kuzuia uzazi “ni marufuku.”
-
-
Je, Ni Vibaya Kutumia Njia za Kuzuia Uzazi?Amkeni!—2007 | Septemba
-
-
a Katika karne ya 13 Papa Gregori wa Tisa alipitisha ile ambayo kulingana na New Catholic Encyclopedia inaitwa “sheria ya watu wote iliyotolewa na papa inayokataza matumizi ya njia za kuzuia uzazi.”
-