Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unaweza Kuwasaidia Wafu?
    Amkeni!—2006 | Oktoba
    • Maoni ya Biblia

      Je, Unaweza Kuwasaidia Wafu?

      “Tangu mwanzo Kanisa . . . limekuwa likitoa sala kwa ajili ya [wafu] . . . ili, wakiisha kutakaswa, waweze kumwona Mungu kihalisi.”—Kitabu “Catechism of the Catholic Church.”

  • Je, Unaweza Kuwasaidia Wafu?
    Amkeni!—2006 | Oktoba
    • Kwa upande mwingine, wanafundisha kwamba mtu aliye na kibali cha Mungu anaweza kuwa na tumaini la kupata “furaha kuu na kamili” pamoja na Mungu mbinguni, lakini si kabla ya kutakaswa kabisa. Ili atakaswe huenda akahitaji kukaa purgatori kwa muda fulani ili ateseke katika “moto wa kutakasa” unaotolewa kama nidhamu kwa ajili ya makosa yake ambayo anaweza kusamehewa. Hata hivyo, anapokuwa purgatori, mtu huyo anaweza kusaidiwa kwa kuombewa na Kanisa na vilevile kwa Misa zinazofanywa kwa niaba yake. Kwa kawaida, ibada kama hizo hulipiwa na marafiki na watu wa ukoo wa aliyekufa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki