Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mahali pa Kubatizia Ushuhuda wa Desturi Iliyosahaulika
    Amkeni!—2007 | Septemba
    • Hata hivyo, michoro ya ubatizo huo huonyesha kwamba ilikuwa kawaida kuzamishwa kikamili. Michoro hiyo ilionyesha maji yakiwa yamemfikia mtu anayebatizwa kifuani au shingoni kabla ya ubatizo. (Ona picha juu.) Je, ingewezekana kumzamisha mtu kikamili ikiwa kina cha maji kilimfikia kiunoni mtu mwenye kimo cha kawaida? Kitabu kimoja kinadokeza kwamba kidimbwi kingezibwa hadi mtu anayebatizwa aliyepiga magoti au kuchuchumaa azamishwe.a Pierre Jounel profesa wa desturi na sherehe za Kikatoliki huko Paris, anasema: Mtu anayebatizwa “alisimama maji yakiwa yamemfikia kiunoni. Akiweka mkono juu ya kichwa chake, kasisi au shemasi alimwinamisha majini ili mwili wote uzamishwe.”

  • Mahali pa Kubatizia Ushuhuda wa Desturi Iliyosahaulika
    Amkeni!—2007 | Septemba
    • Na kupatana na kile ambacho Buhler anasema kuwa ni msisimko wa kurudia uzamishaji wa zamani, sasa kuliko wakati mwingine wowote, Kanisa Katoliki linapendekeza watu wabatizwe kwa kuzamishwa kabisa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki