-
“Mkaribishane”Mnara wa Mlinzi—2005 | Januari 15
-
-
Katika karne ya kwanza, watu walisafiri kwa urahisi kotekote katika Milki ya Roma kwa sababu kulikuwa na amani na barabara nzuri.a Kwa vile wasafiri walikuwa wengi, kulikuwa na uhitaji mkubwa wa mahali pa kulala. Uhitaji huo ulitimizwa na kuwepo kwa nyumba nyingi za kupanga zilizokuwa kando ya barabara kuu.
-
-
“Mkaribishane”Mnara wa Mlinzi—2005 | Januari 15
-
-
a Inakadiriwa kwamba kufikia mwaka wa 100 W.K., kulikuwa na barabara za Waroma zenye urefu wa kilometa 80,000 hivi za lami.
-