-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Mimi, Yesu, nilituma malaika wangu atoe ushahidi kwenu nyinyi watu juu ya vitu hivi kwa ajili ya makundi. Mimi ndimi mzizi na mzao wa Daudi, na nyota nyangavu ya asubuhi.” (Ufunuo 22:16, NW)
-
-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Yesu ndiye “mzizi na mzao wa Daudi” pia. Yeye alitokana na ukoo wa Daudi kulingana na mnofu na hivyo anastahili kuwa Mfalme wa Ufalme wa Yehova. Yeye atakuwa pia “Baba wa milele” wa Daudi, na hivyo “mzizi” wa Daudi. (Isaya 9:6; 11:1, 10, NW) Yeye ndiye Mfalme wa daima, asiyeweza kufa katika nasaba ya Daudi, akitimiza agano la Yehova kwa Daudi, na “nyota nyangavu ya asubuhi” iliyotabiriwa katika siku ya Musa. (Hesabu 24:17; Zaburi 89:34-37, NW)
-