Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Lakini mmoja wa wale wazee asema kwangu mimi: ‘Acha kutoa machozi. Tazama! Simba ambaye ni wa kabila la Yuda, mzizi wa Daudi, ameshinda ili kufungua hati-kunjo na vifungo saba vyayo.’” (Ufunuo 5:5, NW)

  • “Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 6. Ni katika njia gani Yesu alikuwa “kitawi” cha Yese na pia “mzizi wa Daudi”?

      6 Kwa haraka Yohana anatambua lile rejezo kwa “mzizi wa Daudi.” Mesiya aliyeahidiwa anaitwa kiunabii “kitawi kutoka kisiki cha Yese [baba ya Mfalme Daudi] . . . chipukizi” na pia “mzizi wa Yese ambao utakuwa unasimama kuwa ishara kwa vikundi vya watu.” (Isaya 11:1, 10, NW) Yesu alikuwa kitawi cha Yese, akizaliwa katika mstari wa kifalme wa Daudi, mwana wa Yese. Na zaidi, akiwa mzizi wa Yese, ndiye yule Mmoja ambaye alifanya nasaba ya kifalme ya Kidaudi ichipuke tena, akiipa uhai na lisho milele.—2 Samweli 7:16.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki