-
Yesu Aja na Kitia-MoyoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
‘Mtawala wa wafalme wa dunia.’” (Ufunuo 1:5b, NW)
-
-
Yesu Aja na Kitia-MoyoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Sasa akiwa katika kuwapo kwa Yehova, amekwezwa kwenye hali ya juu, juu sana ya wafalme wote wa kidunia, akiwa amevishwa “mamlaka yote . . . katika mbingu na juu ya dunia.” (Mathayo 28:18, NW; Zaburi 89:27; 1 Timotheo 6:15) Katika 1914 yeye aliwekwa awe Mfalme atawale miongoni mwa mataifa ya kidunia.—Zaburi 2:6-9.
-