Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kupiga Mbiu ya Kurudi kwa Bwana
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Jitihada ya Kutafuta Sana Kweli

      C. T. Russell alizaliwa katika Marekani, katika Allegheny (sasa ni sehemu ya Pittsburgh), Pennsylvania, katika Februari 16, 1852. Alikuwa mwana wa pili wa Joseph L. na Ann Eliza (Birney) Russell, ambao walikuwa Wapresbiteri wa nasaba ya watu wa Scotland na Ireland. Mama yake Charles alikufa wakati yeye alipokuwa na umri wa miaka tisa tu, lakini tokea umri wa mapema, Charles alivutwa na wazazi wake wawili wenye akili zenye kufikiria mambo ya kidini. Kama vile mshirika wa baadaye wa C. T. Russell alivyosema, “walizoeza hilo tawi dogo; nalo likakua kuelekea Bwana.” Ingawa alilelewa akiwa Mpresbiteri, hatimaye Charles alijiunga na Congregational Church kwa sababu alipendelea maoni yalo.

  • Kupiga Mbiu ya Kurudi kwa Bwana
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Wazazi wa Charles waliamini kwa moyo mweupe itikadi za kidini za makanisa ya Jumuiya ya Wakristo nao walimlea akazikubali pia. Hivyo kijana Charles alifundishwa kwamba Mungu ni upendo, na hata hivyo kwamba yeye alikuwa ameumba watu wakiwa na hali ya kutokufa iliyorithiwa na alikuwa ameandaa mahali penye moto ambapo angetesa milele wote isipokuwa wale ambao wangekuwa wameandikiwa kimbele kuokolewa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki