Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Nikolai Gutsulyak anakumbuka: “Mara nyingi tulinunua chakula katika kioski cha kambini. Kila nilipochukua chakula, nilisema maneno machache kuhusu Biblia. Mwanamke aliyeuza chakula alisikiliza kwa makini na wakati mmoja aliniomba nimsomee kitu fulani. Siku tatu baadaye, ofisa mmoja aliniita langoni. Aliniambia mimi na Shahidi mwingine tukaweke dirisha kwenye nyumba ya kamanda wa kambi.

      “Tuliandamana na askari kwenda jijini. Tulipofika katika nyumba hiyo, tulifunguliwa mlango na mwanamke yuleyule aliyefanya kazi katika kioski cha kambini. Kumbe alikuwa mke wa kamanda! Askari mmoja alisimama ndani, na wawili nje kwenye barabara iliyokuwa kando ya dirisha. Mwanamke huyo alitupa chai na kuomba tumweleze mengi kuhusu Biblia. Tulimwekea kioo dirishani na kumhubiria sana. Mazungumzo yetu yalipoisha, alisema: ‘Msiniogope. Wazazi wangu walimwogopa Mungu kama ninyi.’ Alisoma vichapo kwa siri, bila mume wake kujua kwani aliwachukia Mashahidi.”

  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 194]

      Nikolai Gutsulyak alimhubiria mke wa kamanda wa kambi

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki