-
Hazina Iliyofichika YafunukaMnara wa Mlinzi—1997 | Desemba 15
-
-
Hatimaye, mwaka wa 1876 Biblia nzima, kutia na Maandiko ya Kiebrania na ya Kigiriki, ilitafsiriwa katika Kirusi kwa kibali cha sinodi. Mara nyingi Biblia hiyo nzima huitwa tafsiri ya sinodi. Kinyume cha matazamio, tafsiri ya Makarios, pamoja na ya Pavsky, zilitumika zikiwa chanzo cha msingi cha tafsiri hiyo “rasmi” ya Kanisa Othodoksi la Kirusi. Lakini jina la Mungu lilitumiwa katika mahali pachache ambapo latumiwa katika Kiebrania.
-
-
Hazina Iliyofichika YafunukaMnara wa Mlinzi—1997 | Desemba 15
-
-
Kwa kuongezea tafsiri ya Makarios ya Maandiko ya Kiebrania karibu yote, chapa hii ya Biblia ina tafsiri ya Pavsky ya Zaburi na vilevile tafsiri ya sinodi ya Maandiko ya Kigiriki iliyoidhinishwa na Kanisa Othodoksi.
-
-
Hazina Iliyofichika YafunukaMnara wa Mlinzi—1997 | Desemba 15
-
-
Likiwa limekataa tafsiri kadhaa, kanisa mwishowe lilikubali mojawapo ya hizo tafsiri mwaka wa 1876, nayo ikaja kujulikana kuwa tafsiri ya sinodi. Hata hivyo, haikuruhusiwa makanisani. Hadi siku hii, Biblia pekee ambayo yatambuliwa katika Kanisa Othodoksi la Urusi ni ya Kislavoni.”
-