-
Ujumbe Mtamu na MchunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
huletwa kwenye tamati.” (Ufunuo 10:7, NW) Wakati wa Yehova umefika wa kuleta “siri takatifu” yake kwenye upeo wa furaha, pamoja na fanikio tukufu!
-
-
Ujumbe Mtamu na MchunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
14. Ni kwa nini ole wa tatu unafungamanishwa na Ufalme wa Mungu?
14 Hakika, hizi ndizo habari zilizo bora zaidi ya zote. Hata hivyo, kwenye Ufunuo 11:14, 15, ole wa tatu unafungamanishwa na Ufalme. Kwa nini? Kwa sababu wale wa aina ya binadamu ambao wanapendelea mfumo wa mambo wa Shetani, kupigwa tarumbeta ya habari njema kwamba siri takatifu ya Ufalme wa Mungu imeletwa kwenye tamati—yaani Ufalme wa Kimesiya wa Mungu upo hapa—ni habari zenye kujaa ole. (Linga 2 Wakorintho 2:16.) Humaanisha kwamba mpango wa ulimwengu ambao wao wanapenda sana unakaribia kuharibiwa.
-