Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tunapaswa Kusali kwa Mungu Jinsi Gani?
    Amkeni!—2012 | Februari
    • “Baba yetu uliye mbinguni, jina lako na litakaswe.”

  • Tunapaswa Kusali kwa Mungu Jinsi Gani?
    Amkeni!—2012 | Februari
    • Lakini kwa nini jina la Mungu, ambalo linahusisha sifa yake, linahitaji kutakaswa, au kufanywa kuwa takatifu? Ni kwa sababu jina hilo limeshutumiwa na kuvunjiwa heshima.

      Watu fulani humlaumu Mungu kwa sababu ya majaribu yanayowapata, lakini huenda majaribu hayo yakasababishwa na wanadamu au huenda ni kwa sababu ya kuwa mahali pasipofaa wakati usiofaa. (Methali 19:3; Mhubiri 9:11) Wengine wamemshutumu Mungu kuwa ndiye anayesababisha misiba ya asili. Hata hivyo, Biblia inasema kwamba “Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.” (Yakobo 1:13) Na dini nyingi zinafundisha kwamba Mungu anawaadhibu waovu kwa kuwatesa milele katika moto wa mateso, fundisho ambalo humchukiza sana Mungu mwenye upendo. (Yeremia 19:5; 1 Yohana 4:8) Waroma 6:23 inasema kwamba “mshahara ambao dhambi hulipa ni kifo,” wala si kuteswa milele!b

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki