Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwongozo Wenye Hekima kwa Wenzi wa Ndoa
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Machi 1
    • kama Sara alivyokuwa akimtii Abrahamu, akimwita ‘bwana.’ Nanyi mmekuwa watoto wake, mradi tu mnaendelea kutenda mema na kutokuwa na woga kwa sababu ya kitisho chochote.”—1 Petro 3:3-6.

  • Mwongozo Wenye Hekima kwa Wenzi wa Ndoa
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Machi 1
    • 17. Sara ni kielelezo kizuri kwa wake Wakristo jinsi gani?

      17 Sara anatajwa kuwa kielelezo, naye ni mfano mzuri wa kuigwa na wake Wakristo iwe waume zao ni waamini au la. Bila shaka, Sara alimwona Abrahamu kuwa kichwa chake. Hata moyoni mwake, alimwita “bwana” wake. (Mwanzo 18:12) Hata hivyo, hilo halikumfanya kuwa duni. Ni wazi kwamba alikuwa mwanamke mwenye nguvu kiroho aliyekuwa na imani thabiti katika Yehova. Kwa kweli, yeye ni sehemu ya ‘wingu kubwa la mashahidi’ ambao kielelezo chao cha imani kinapaswa kutuchochea “tukimbie kwa uvumilivu shindano la mbio lililowekwa mbele yetu.” (Waebrania 11:11; 12:1) Kwa hiyo mke Mkristo hawi duni anapomwiga Sara.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki