-
Abrahamu—Mwanamume Mwenye UpendoMnara wa Mlinzi—2012 | Januari 1
-
-
Abrahamu—Mwanamume Mwenye Upendo
Abrahamu amelemewa na huzuni. Sara, mke wake mpendwa, amekufa. Mwanamume huyu mzee anafikiria mambo mengi sana anapomzika. Huzuni inapoongezeka moyoni, Abrahamu analia. (Mwanzo 23:1, 2) Machozi hayo si ishara ya udhaifu ambao anapaswa kuuonea aibu, bali yanathibitisha mojawapo ya sifa nzuri zaidi za Abrahamu—upendo wake.
-
-
Abrahamu—Mwanamume Mwenye UpendoMnara wa Mlinzi—2012 | Januari 1
-
-
Pia, tunaweza kutambua upendo wa Abrahamu kupitia jinsi alivyotenda wakati Sara, mke wake mpendwa, alipokufa. Abrahamu alimlilia mke wake. Ingawa alikuwa mwanamume hodari na mwenye nguvu, hakuogopa kuonyesha huzuni yake. Abrahamu alikuwa mwanamume mwenye nguvu lakini mpole.
-