-
Sinagogi—Mahali Ambapo Yesu na Wanafunzi Wake WalihubiriMnara wa Mlinzi—2010 | Aprili 1
-
-
Karibu katika kila mji, kulikuwa na shule kwenye ua wa sinagogi na mara nyingi, shule hiyo ilikuwa katika jengo la sinagogi. Tunaweza kuwazia chumba ambacho kimejaa wanafunzi wachanga wakijifunza kusoma herufi kubwa zilizoandikwa na mwalimu kwenye bamba la nta. Shule hizo ziliwasaidia Wayahudi wa kale wajue kusoma na kuandika, na hivyo hata watu wa kawaida wangeweza kusoma Maandiko.
-
-
Sinagogi—Mahali Ambapo Yesu na Wanafunzi Wake WalihubiriMnara wa Mlinzi—2010 | Aprili 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 18]
Shule katika sinagogi ambapo wavulana wenye umri wa miaka 6 hadi 13 walifunzwa
-