-
4. Ni Sahihi KisayansiAmkeni!—2007 | Novemba
-
-
Maneno yanayopatana na sayansi.
Miaka 3,500 iliyopita, Biblia ilisema kwamba dunia inaning’inia “pasipo na kitu.” (Ayubu 26:7) Katika karne ya nane K.W.K., Isaya alisema kwa njia ya wazi kuhusu “mviringo wa [au, duara ya] dunia.” (Isaya 40:22) Je, kusema kwamba dunia ni ya mviringo na inaning’inia pasipo kitu si wazo linalopatana na sayansi ya kisasa?
-