-
Yehova Aghadhibikia MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mbingu halisi zilizo juu yetu huonekana kuwa zimepindika machoni petu, kama kitabu cha kale cha hati-kunjo, ambamo kwa kawaida maandishi yalikuwa upande wa ndani. Msomaji amalizapo kusoma maandishi yaliyo upande wa ndani, yeye huikunja na kuihifadhi hati-kunjo hiyo. Vivyo hivyo, “mbingu zitakunjwa kama hati-kunjo,” ikimaanisha kwamba serikali za binadamu lazima zikome. Lazima zikomeshwe kwenye Har–Magedoni zifikapo ukurasa wa mwisho wa historia yake.
-
-
Yehova Aghadhibikia MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
[Picha katika ukurasa wa 360]
“Mbingu zitakunjwa kama hati-kunjo”
-