Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Na wale wote wanaokaa juu ya dunia wataabudu yeye; hakuna jina la hata mmoja wao limesimama likiwa limeandikwa katika hati-kunjo ya uhai ya Mwana-Kondoo ambaye alichinjwa, kutoka kuasisiwa kwa ulimwengu.”—Ufunuo 13:5-8, NW.

  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Kitamathali, hati-kunjo hii ina majina ya wale ambao watatawala na Yesu katika Ufalme wake wa kimbingu. Majina ya kwanza yaliandikwa ndani yayo kwenye Pentekoste 33 W.K. Na katika miaka iliyofuata tangu hapo, majina zaidi na zaidi yameongezwa. Tangu 1918, kutiwa muhuri kwa wabakio wa warithi wa Ufalme 144,000 kumekuwa kukiendelea hadi utimilifu. Karibuni, majina yao wote yataandikwa bila kufutika katika hati-kunjo ya uhai ya Mwana-Kondoo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki