Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Haradali—Habari Moto-moto
    Amkeni!—1996 | Agosti 8
    • Kwa kushangaza, “punje ya haradali” nyeusi yenyewe ni ndogo mno. Katika siku ya Yesu ilikuwa mbegu ndogo mno kuliko zote zilizopandwa sana katika Israeli. (Marko 4:31) Ina kipenyo cha karibu milimeta moja, ikihakikisha utumizi wayo ikiwa kipimo kidogo kuliko vyote katika Talmud.—Berakhot 31a.

  • Haradali—Habari Moto-moto
    Amkeni!—1996 | Agosti 8
    • Kristo pia alitumia kielezi chenye kuchochea ili kukazia jinsi ambavyo hata kiwango kidogo mno cha imani kiwezavyo kutimiza mengi, akitaarifu: “Amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali, . . . halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.”—Mathayo 17:20; Luka 17:6.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki