-
Mungu Ambariki Abrahamu na Familia YakeBiblia—Ina Ujumbe Gani?
-
-
Yakobo alimalizia maisha yake huko Misri, akiwa na familia yake iliyokuwa ikizidi kuongezeka. Alipokuwa akikaribia kufa, alitabiri kwamba Mkombozi, au Uzao ulioahidiwa, angekuwa Mtawala mwenye nguvu ambaye angezaliwa katika ukoo wa mwana wake Yuda.
-