-
Manufaa za Habari NjemaMnara wa Mlinzi—2002 | Januari 1
-
-
20. (a) Ripoti ya utendaji wa Mashahidi wa Yehova mwaka jana inaonyesha nini? (b) Ni nini kinachoonyesha kwamba bado kuna kazi nyingi ya kufanya, nasi tunaonaje pendeleo letu la kueneza evanjeli?
20 Tungeweza kusimulia mambo mengi yaliyoonwa, lakini kutokana na yale machache tuliyosimulia katika makala hii ni wazi kwamba Mashahidi wa Yehova walifanya kazi nyingi sana katika mwaka wa utumishi wa 2001.a Walizungumza na mamilioni ya watu, waliwafariji wengi waliolia, na kazi yao ya kueneza evanjeli ilikuwa na manufaa. Watu 263,431 walionyesha wakfu wao kwa Mungu kwa kubatizwa. Idadi ya waeneza-evanjeli ulimwenguni pote iliongezeka kwa asilimia 1.7. Na idadi ya watu 15,374,986 waliohudhuria Ukumbusho unaofanywa kila mwaka wa kifo cha Yesu inaonyesha kwamba bado kuna kazi nyingi ya kufanya. (1 Wakorintho 11:23-26)
-
-
Manufaa za Habari NjemaMnara wa Mlinzi—2002 | Januari 1
-
-
[Chati katika ukurasa wa 19-22]
REPOTI YA MWAKA WA UTUMISHI WA 2001 YA MASHAHIDI WA YEHOVA ULIMWENGUNI POTE
(Ona buku lililojalidiwa)
-