-
Yesu Aja na Kitia-MoyoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Nambari hiyo, “saba,” inarudiwa mara nyingi katika Ufunuo. Inamaanisha ukamilifu, hasa kuhusiana na mambo ya Mungu na kundi lake lililopakwa mafuta.
-