-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na kuna taa saba za moto zikiwaka mbele ya kiti cha ufalme, na hizi humaanisha roho saba za Mungu.
-
-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Yohana mwenyewe anatuambia maana ya hizo taa saba: “Hizi humaanisha roho saba za Mungu.” Nambari saba hufananisha utimilifu wa kimungu; kwa hiyo taa saba lazima ziwakilishe ule ujazo wa kani ya roho takatifu yenye kutoa nuru ya elimu. Jinsi ile jamii ya Yohana ilivyo yenye kushukuru leo kwa vile imeaminishwa hii nuru ya elimu, pamoja na lile daraka la kuipitisha kwenye vikundi vya watu wa dunia wenye njaa ya kiroho! Jinsi tunavyoterema kwamba kila mwaka mamilioni ya nakala za gazeti Mnara wa Mlinzi yanaendelea kuangaza nuru katika lugha zipatazo 150!—Zaburi 43:3.
-