-
Mwongozo Bora wa Kupata FurahaMnara wa Mlinzi—2006 | Juni 15
-
-
a Kitabu kimoja (Encyclopædia Britannica, 2003) kinasema kwamba Sheoli ni “mahali ambapo hapana maumivu wala furaha, wala adhabu, wala thawabu.”
-
-
Mwongozo Bora wa Kupata FurahaMnara wa Mlinzi—2006 | Juni 15
-
-
Hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika [Sheoli], mahali unapokwenda.” Sheoli ni nini? Ni kaburi ambamo wanadamu huenda wanapokufa. Kaburini, wafu hawafanyi lolote, hawasongi, hawahisi, wala hawafikirii jambo lolote. Ni kana kwamba wanalala usingizi mzito.a
-