-
Kusafiri Mpaka Sehemu ya Mbali Zaidi ya DuniaMnara wa Mlinzi—2010 | Novemba 1
-
-
Meli nyingi kubwa za mizigo zilivuka Bahari ya Mediterania kwenda na kurudi kutoka bandari za mbali. Meli hizi zilipeleka chakula Roma na kusafirisha maofisa wa serikali. Pia zilisafirisha watu kutoka bandari moja hadi nyingine.
-
-
Kusafiri Mpaka Sehemu ya Mbali Zaidi ya DuniaMnara wa Mlinzi—2010 | Novemba 1
-
-
Kwenye meli za mizigo zilizotumiwa sana kwa usafiri, starehe za wasafiri hazikutangulizwa. Wasafiri walikaa na kulala kwenye sitaha ya meli katika hali yoyote ile ya anga. Sehemu kavu iliyokuwa chini ya sitaha ilijazwa mizigo yenye thamani. Wasafiri walikula chakula walichobeba wenyewe. Walipewa tu maji ya kunywa.
-