Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tel Aradi—Eneo Linalotoa Ushuhuda
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 1
    • Tabaka moja la mchanga linaonyesha uthibitisho wa kuteketezwa na inakadiriwa kwamba eneo hilo liliteketezwa mwanzoni mwa karne ya kumi K.W.K. Uvumbuzi huo unapatana na uvamizi wa Shishaki Mfalme Mmisri, miaka mitano tu baada ya kifo cha Sulemani. Huko Karnaki kusini mwa Misri, mchongo katika jiwe unaonyesha uvamizi huo na unataja Aradi kati ya majiji mengi yaliyoshindwa.—2 Mambo ya Nyakati 12:1-4.

  • Tel Aradi—Eneo Linalotoa Ushuhuda
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 1
    • [Picha katika ukurasa wa 24]

      Maandishi yaliyochongwa kwenye ukuta huko Karnaki, Misri

      [Hisani]

      Pictorial Archive (Near Eastern History) Est.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki