-
Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Gust Maki alikuwa ndiye kapteni, na waliokuwa pamoja naye ni Stanley Carter, Ronald Parkin, na Arthur Worsley. Walianza na Visiwa Out vya kikundi cha Bahamas, kisha wakafanya kazi kuelekea kusini-mashariki kupitia Visiwa vya Leeward na Visiwa vya Windward.
-
-
Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Ramani/Picha katika ukurasa wa 462]
Mashua “Sibia” ilitumika kuwa kao la kimishonari lenye kuelea katika Indies Magharibi
G. Maki
S. Carter
R. Parkin
A. Worsley
-