Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wamishonari Wasukuma Mpanuko wa Ulimwenguni Pote
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Kulikuwa na hali za kuchekesha pia. Leslie Franks, katika Singapore, alijifunza kwamba ni lazima awe mwangalifu asiseme juu ya nazi (kelapa) alipomaanisha kichwa (kepala), na nyasi (rumput) alipomaanisha nywele (rambut).

  • Wamishonari Wasukuma Mpanuko wa Ulimwenguni Pote
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Singapore, kutia na vikundi vingi vya visiwa. Wamishonari waliweka kielelezo kizuri cha bidii katika huduma, wakasaidia Mashahidi wenyeji kufanya uwezo wao uwe bora, wakapanga makutaniko kitengenezo, na wakasaidia ndugu wastahili kuchukua uongozi. Katika sehemu nyingi pia walifungua kazi ya kuhubiri katika maeneo ambayo hayakuwa yamehubiriwa awali.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki