Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sifuni Yah kwa Hukumu Zake!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Na mara hiyo kwa mara ya pili wao wakasema: ‘Halleluyah!b Na ule moshi kutoka kwake huendelea kupaa milele na milele.’”—Ufunuo 19:1-3, NW.

  • Sifuni Yah kwa Hukumu Zake!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 4. Ni nini kinachofananishwa na uhakika wa kwamba moshi kutoka Babuloni Mkubwa “huendelea kupaa milele na milele”?

      4 Babuloni Mkubwa amewashwa moto kama jiji lililoshindwa, na moshi wa kutoka kwake “huendelea kupaa milele na milele.” Wakati jiji halisi linapochomwa na majeshi yenye ushindi, moshi huendelea kupaa kwa muda ambao majivu ni yenye moto. Yeyote anayejaribu kulijenga tena linapoendelea kutoa moshi atachomwa tu na yale magofu yenye kutoa moshi. Kwa kuwa moshi kutoka kwake utainuka “milele na milele” katika kuonyesha hukumu yake yenye kukata maneno, hakuna yeyote atakayeweza wakati wowote kurudisha jiji hilo lenye dhambi. Dini bandia imetoweka milele na milele. Halleluyah, kweli kweli!—Linga Isaya 34:5, 9, 10.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki