-
Makampuni ya Tumbaku Yamo MotoniAmkeni!—1996 | Januari 22
-
-
Katika China, laripoti gazeti Panoscope, “asilimia kubwa ya vijana wanavuta sigareti.” Asilimia ipatayo 35 ya vijana wenye umri wa miaka 12 hadi 15 na asilimia 10 ya wenye umri wa miaka 9 hadi 12 ni wavutaji sigareti.
-
-
Makampuni ya Tumbaku Yamo MotoniAmkeni!—1996 | Januari 22
-
-
China—Nambari Moja
Zhang Hanmin, mfanyakazi mwenye umri wa miaka 35 katika China, akunja viganja vyake na kuwasha sigareti. “Kusema kweli,” yeye asema, “naweza kumudu bila vitu vingi lakini siwezi kumudu bila sigareti.” Yaonekana, jambo hilohilo laweza kusemwa kuhusu wengine milioni 300 kama Zhang. Tangu miaka ya 1980, China “imetokeza, kuuza na kuvuta sigareti kuliko nchi nyingineyo yote.” Katika mwaka fulani wa hivi majuzi “mabilioni ya sigareti yaliuzwa kwa watu wenye mazoea ya kuvuta sigareti,” ikifanya China kuwa “taifa nambari moja la tumbaku.”—Gazeti Panoscope.
-