Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kushangilia Katika Tumaini Letu
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Machi 15
    • Kwa maana uumbaji ulitiishwa chini ya ubatili, si kwa mapenzi yake wenyewe bali kupitia yeye aliyeutiisha hivyo, juu ya msingi wa tumaini kwamba uumbaji wenyewe pia utawekwa huru kutoka katika utumwa wa uharibifu na kuwa na uhuru wenye utukufu wa watoto wa Mungu.”—Rom. 8:14-21.

  • Kushangilia Katika Tumaini Letu
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Machi 15
    • Wakiwa raia wa Ufalme wa mbinguni, “uumbaji” wa kibinadamu utaanza kushuhudia ukombozi kutokana na matokeo ya dhambi na kifo. Hatua kwa hatua wanadamu watiifu ‘watawekwa huru kutoka katika utumwa wa uharibifu.’ Ikiwa wataendelea kuwa waaminifu kwa Yehova wakati wa ile miaka Elfu Moja na wakati wa jaribu litakalokuja mwishoni mwa miaka hiyo, majina yao yataandikwa kwa njia ya kudumu katika “kitabu cha uzima.” Wataingia katika “uhuru wenye utukufu wa watoto wa Mungu.” (Ufu. 20:7, 8, 11, 12)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki