-
Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Juan Muñiz, aliyekuwa amekuwa mmoja wa watumishi wa Yehova katika 1917, alitiwa moyo na Ndugu Rutherford katika 1920 aondoke Marekani arudi Hispania, nchi ya kwao, ili akapange kitengenezo kazi ya kuhubiri Ufalme huko. Hata hivyo, matokeo yalikuwa madogo, si kwa sababu ya ukosefu wa bidii kwa upande wake, bali kwa sababu ya kufuatwafuatwa daima na polisi; kwa hiyo baada ya miaka michache, alihamishwa akatumwa Argentina.
-
-
Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Wakati huohuo, alipowasili katika Argentina, Ndugu Muñiz alikuwa ameanza kuhubiri upesi, huku akijiruzuku kwa kurekebisha saa. Kuongezea kazi yake katika Argentina, alitoa uangalifu kwa Chile, Paraguai, na Uruguai. Kwa ombi lake baadhi ya ndugu walitoka Ulaya ili kutoa ushahidi kwa idadi ya watu wasemao Kijerumani.
-
-
Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 437]
Juan Muñiz (kushoto), aliyekuwa amekuwa akihubiri katika Amerika Kusini tangu 1924, alikuwapo kumkaribisha N. H. Knorr wakati alipotembelea Argentina kwa mara ya kwanza miaka 20 baadaye
-