Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Dini Zitapatwa na Nini?
    Amkeni!—2001 | Aprili 22
    • DINI nyingi zimeibuka tena katika nchi za ule uliokuwa Muungano wa Sovieti. Kwa sasa, nchini Urusi peke yake, asilimia 50 ya watu hudai kuwa Waothodoksi, na mamilioni ya watu ni wafuasi wa dini nyinginezo.

  • Dini Zitapatwa na Nini?
    Amkeni!—2001 | Aprili 22
    • Muungano wa Sovieti ulipovunjika ghafula takriban miaka kumi iliyopita, watu walianza kujiuliza hivi, ‘Kwa nini serikali ya Sovieti ikajaribu kuondolea mbali dini?’ Watu wengi waliofunzwa kutomwamini Mungu kwa miaka mingi wakawa na hamu ya kutaka kujua manufaa ya dini. Je, Biblia ambayo ilikuwa imepigwa marufuku, ingeweza kueleza jinsi ambavyo matatizo yanayokumba wanadamu yatatatuliwa? Warusi walianza kuichunguza wenyewe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki