-
Kuzuru Tena Sayari NyekunduAmkeni!—1999 | Novemba 22
-
-
◼ Mnamo mwaka wa 1960, Muungano wa Sovieti ulirusha angani vyombo vya kwanza kwenda kwenye sayari vilivyoelekezwa Mihiri. Vyombo hivyo havikufika kwenye mzingo.
-
-
Kuzuru Tena Sayari NyekunduAmkeni!—1999 | Novemba 22
-
-
◼ Mnamo mwaka wa 1971, Mars 3, chombo cha Sovieti, kiliangusha sehemu ya roketi iliyokuwa ya kwanza kutua salama katika Mihiri.
-
-
Kuzuru Tena Sayari NyekunduAmkeni!—1999 | Novemba 22
-
-
◼ Mwaka wa 1988, wanasayansi wa Sovieti walirusha angani vyombo viwili vya anga, Phobos 1 na Phobos 2, hadi Mihiri. Phobos 1 hakikufaulu katika safari yake, lakini Phobos 2 kiliwasili Mihiri na kurudisha utafiti wake wa siku kadhaa.
-