-
Rio de Janeiro—Maridadi na Lenye KuvutiaAmkeni!—1999 | Machi 8
-
-
Carioca hufurahia mechi safi ya kandanda, na mechi muhimu za ligi zinapochezwa, mambo yote huelekea Stediamu ya Maracanã. Uwanja huo wajulikana kuwa stediamu kubwa zaidi ya kuchezea kandanda ulimwenguni, nao umekuwa na mechi zilizohudhuriwa na mashabiki wapatao 200,000. Kwa wakati huu, ni watu 100,000 tu wanaoruhusiwa ndani kwa sababu ya usalama na vilevile kuzuia kusongamana kwa mashabiki.
-
-
Rio de Janeiro—Maridadi na Lenye KuvutiaAmkeni!—1999 | Machi 8
-
-
Maracanã, stediamu kubwa zaidi ya kuchezea kandanda ulimwenguni
-