Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matetemeko ya Dunia Katika Siku ya Bwana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • kwa sababu siku kubwa ya hasira-kisasi yao imekuja, na ni nani anaweza kusimama?’”—Ufunuo 6:15-17, NW.

  • Matetemeko ya Dunia Katika Siku ya Bwana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Wanadamu ambao kwa kupenda wamekuwa mbegu ya yule nyoka wataelekeana na uharibifu wakati ulimwengu wa Shetani unapopitilia mbali. (Mwanzo 3:15; 1 Yohana 2:17) Hali ya ulimwengu kwenye wakati huo itakuwa ya aina ya kwamba, ni kana kwamba wengi watakuwa wakiuliza: “Ni nani anaweza kusimama?” Yaonekana kama watadhani hakuna yeyote kwa vyovyote ambaye anaweza kusimama akiwa anakubalika mbele za Mungu katika siku hiyo ya hukumu yake. Lakini watakuwa wenye kukosea, kama vile kitabu cha Ufunuo kinavyoendelea kuonyesha.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki