Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Hekima I Pamoja na Wenye Kiasi”
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Agosti 1
    • a Neno la Kigiriki lililotafsiriwa “walio chini” linaweza kurejezea mtumwa ambaye alipiga makasia katika sehemu ya chini ya meli kubwa. Kwa kutofautisha, huenda “wasimamizi-nyumba” wakakabidhiwa mapendeleo zaidi, labda ya kutunza nyumba nyingi. Hata hivyo, machoni pa wakubwa wengi, msimamizi-nyumba alipaswa kuwa mtiifu kama tu mtumwa mwenye kupiga makasia katika sehemu ya chini ya meli.

  • “Hekima I Pamoja na Wenye Kiasi”
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Agosti 1
    • Badala yake, Paulo alisema hivi juu yake mwenyewe na waandamani wake: “Acheni mtu atukadirie sisi hivyo kama walio chini ya Kristo na wasimamizi-nyumba wa siri takatifu za Mungu.”a—1 Wakorintho 2:1-5; 4:1.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki