Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea Ulaya
    Amkeni!—2003 | Agosti 22
    • Ukiamua kusafiri kwa gari la moshi linalopita kwenye reli ya chini ya ardhi ambayo ni mojawapo ya reli zenye kina kirefu zaidi duniani, unaweza kufurahia safari hiyo yenye kupendeza. Kila siku, zaidi ya watu milioni mbili hutumia reli hiyo yenye umbali wa kilometa 98 hivi wanaposafiri kati ya vituo vyake zaidi ya 50. Baadhi ya vituo hivyo ni kati ya vile maridadi zaidi duniani. Katika mwaka wa 1955, wakati njia hiyo ilipofunguliwa, gazeti The New York Times lilisema kwamba vituo hivyo ni “majumba ya kifalme ya chini ya ardhi ya karne ya ishirini.”

  • St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea Ulaya
    Amkeni!—2003 | Agosti 22
    • [Picha katika ukurasa wa 26]

      Njia za chini ya ardhi za St. Petersburg zimetajwa kuwa “majumba ya kifalme ya chini ya ardhi”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki